Habari

RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA KWA ZIARA YA SIKU MBILI

Ahmed Hassan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkT.Hussein Ali Mwinyi ameondoka leo Unguja na kuwasili Pemba atakuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili tarehe 11 Aprili 2023 ,amepokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Masoud na viongozi wengine wa mkoa huo.
Rais DkT.Mwinyi atakuwa na Ziara ya siku mbili Mikoa ya Pemba na zoezi la ugawaji futari na kufutarisha katika Mikoa hiyo
Back to top button