Habari

DKT.MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA  CCM TAIFA

0:00

Leo, Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar ,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt.Samia Suluhu Hassan.Kikao hicho kimefanyika Ikulu Dar es salaam .

Back to top button