Vijana Na Michezo

Timu ya Olimpiki yaishinda Zambia na kufikia mataifa ya Afrika huko Morocco

Mervet Sakr

 

Timu ya Olimpiki ya Misri, ikiongozwa na Rogerio Micali, iliichapa Zambia mabao 2-0, kwa jumla, katika awamu ya tatu na ya mwisho ya mechi za kufikia Fainali za chini ya miaka wa 23 za Mataifa ya Afrika nchini Morocco, ambayo ni mashindano ya kufikia Olimpiki ya Paris 2024.

Timu ya Olimpiki ya Misri imeifunga Zambia kwa mabao mawili safi mjini Kairo, kabla ya sare ya bila kufungana  nchini Zambia.

Back to top button