Habari Tofauti

Mengi yaliyofanyika katika Sekta ya Maji yameelezwa, mafanikio na changamoto zilizopatiwa ufumbuzi

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) anasema fedha ipo, ya kujenga miradi ya maji na suala la mabadiliko ya tabia nchi limezingatiwa ili wananchi wapate huduma ya maji ya uhakika. Ukweli ni kuwa Tanzania ina rasilimali za maji za kutosha.
Ni haki ya mwananchi kupata huduma ya maji, ila anao wajibu wa kulipia huduma hiyo kadri anavyoitumia.
Back to top button