Habari

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE YA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA UONGOZI WA SERIKALI YA AWAMU YA 6

Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Kilele cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita , pamoja na Viongozi mbalimbali wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) pamoja na Wananchi wa Mikoa mbalimbali.
Pia Raisi Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi za picha na tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda.
Sherehe hii iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) katika Uwanja wa Uhuru Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Back to top button