Vijana Na Michezo
Al Ahly yashinda Coton Sport ya Cameroon kwa mabao matatu safi katika Mabingwa wa Afrika
Aly Mahmoud
Timu ya Al Ahly ilishinda timu ya Coton Sport ya Cameroon kwa mabao matatu safi, katika awamu ya makundi ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika.
Mohamed Sherif alifunga bao la kwanza la Al Ahly mnamo dakika ya kwanza.
Ahmed Qandousi alifunga bao la Pili la Al Ahly mnamo dakika ya 40.
Raafat Khalil mchezaji wa Al Ahly alifunga bao la tatu mnamo dakika ya 90.