Siasa

Rais Samia Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Zambia

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Zambia hapa nchini Mhe. Mathew Jere mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais Mhe. Samia amefanya mazungumzo na Balozi Mhe. Mathew Jere mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Pamoja na masuala mengine wamezungumzia pia kuhusu Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA pamoja na Bomba la Mafuta la TAZAMA.

Back to top button