Siasa

Rais Samia Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Marekani

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Pia rais Samia amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho.

Na katika mazungumzo yao waligusia masuala ya Biashara, Uwekezaji na Kilimo.

Back to top button