Vijana Na Michezo
UFUNGUZI WA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi.