Utamduni

“Norway ” mgeni rasmi wa kikao cha 55 katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Kairo 2024

Nour Khalid

Waziri wa Utamaduni ashuhudia kupokea bango heshima la nchi kutoka Jordan kwa Norway

Neven Elkelany : Ushiriki wa wa kipekee kutoka nchi ya Jordan na kunufaisha kwa kikao cha kisasa
na tunafurahisha kuchagua nchi ya Norway kama mgeni wa mwaka ujao.

Dkt. Neven Elklany, Waziri wa Utamaduni wa Kimisri alitangaza kuchagua Jordan kama mgeni rasmi katika maonesho ya kimataifa ya Vitabu vya Kairo katika kikao kijacho cha 55 .

Ambapo Dkt. Neven Elkelani, Waziri huyo alihudhuria sherehe ya kupokea “Bango la wageni wa heshima” kutoka Ufalme wa Wahashemi wa Jordan ” mgeni rasmi kwenye kikao cha kisasa kwa Norway, na hayo yamekuja kupitia matokeo ya mkutano na waandishi wa habari umeshafanyiwa leo, mwa ukumbini “Mgeni Rasmi” katika siku ya mwisho kwa kikao cha 54 kwa maonesho hayo , kwa ushiriki wa balozi , Amgad Adila” Balozi wa Jordan huko mji mkuu wa Kairo ,na Dkt. Ahmed Bahey Aldeen , Mwenyekiti wa Mamlaka ya Vitabu vya Misri.

Waziri huyo alisema kwamba maonesho ya mwaka huu, yamefanikiwa kutoa namna tofautii za vikao vilivyopita, na aliongeza kwamba ushiriki “Ufalme wa Wahashemi wa Jordan” kwenye kikao cha mwaka huo kama mgeni rasmi imekuwa motisha ili kuendelea kwa ushirikiano mbalimbali katika mustakabali katika nyanja za kiutamaduni na kifani kati ya nchi hizo mbaili Misri na Jordan . na pia amewatoa shukrani wapangaji wa maonesho ambapo wamekuwa na jukumu kuu katika kutengeneza sura hii kutoka Maonesho hayo . na kwa namna hii inajikita nguvu na uongozi wa utamaduni wa Kimisri na pia alimshukuru balozi wa Jordan kwa ushiriki wa pekee kwa mwaka huo , na Waziri wa Utamaduni pia alionesha furaha yake katika uchaguzi wa Norway kama mgeni rasmi katika kikao kijacho kwa Maonesho, pamoja na urithi , Utamaduni na kihistoria wa kipekee .

 


Na Balozi wa Norway , Hila klimtstal” alionesha furaha yake kwa kuchagua nchi yake kama mgeni rasmi katika maonesho ya kimataifa ya Vitabu vya Kairo katika kikao kijacho, akizingatia kuwa yamezingatiwa miongoni mwa Maonesho muhimu zaidi Duniani kote , na Misri ina historia ya kipekee inayoifanya nzuri kwa watu wengi wa Norway wanaipenda . na kwamba Ufalme utaanza sasa kuandaa ushirikiano wa kipekee huo kwa kikao kijacho kwa maonyesho hayo .ili kuchangia kutambulisha hadhira kubwa ya wamisri yenye utamaduni na ustaarabu wa Norway . na uandaaji umeanza kitendo ambapo uwepo wa ujumbe wa Norway kujadili kupanua ushirikiano wa kitamaduni wa Misri na Norway.

Na kwa upande wake , Balozi wa Jordan Amgad Aladilea alisema ,nawasilisha kwa jina langu na kwa serikali ya Jordan kwa kutathimini Misri kwa uongozi , serikali na raia kwa uandaaji mzuri ,na kwa jukumu kuu liliwafanya kupitia maonyesho, abayo ni jambo la kiutamaduni la kimataifa kutoka upande wa idadi za anwani za ushirikiano na idadi za wageni ,akiongeza kwamba ushirikiano wa Jordan umedhihirisha mahusiano yanyobadilka katika nchi hizo mbili, unaodumu asili zake tangu miongo mbalimbali, akisisitiza kuwa maonyesho katika maonyesho mwaka huu inawakilisha jaribio pekee na lililo kina, linawezekana kutegemewa na kunufaikiwa, na alibainisha kwamba Ufalme umeshiriki katika kikao hicho kwa anwani elfu 10 ,nyumba ya uchapishaji 28 , na shughuli 27 zote zimewakilisha urithi na utamaduni wa Jordan ,na amesisitiza kuwa Misri ni uongozi katika kazi ya utamaduni katika eneo la kiarabu, na alimpongeza waziri wa utamaduni wa Kimisri kwa mafanikio ya kikao hicho .

Kwa upande wake , Dkt. Ahmed Bahy Eldeen alisisitiza kwamba kamati kuu kwa maonesho imechagua “Norway” ili iwe mgeni rasmi katika kikao kijacho cha 55, kwa mujibu wa wa uwepo wake mkubwa katika eneo la kiutamaduni la kimataifa, pamoja na historia yake kubwa ya ustaarabu, na kuendeleza kufungua upeo mpya wa ushirikiano na kubadilishana utamaduni, na nchi nyingi za Ulaya na Kiarabu.

Ikumbukwe kwamba kikao cha 54 cha Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Kairo kilifanyika chini ya Mheshimiwa Rais Abdel Fattah El-Sisi, Waziri mkuu ,Dkt. Mustafa Madboli aliyofungua na kituo cha Misri kwa mikutano na Maonesho ya kimataifa kimefanyiwa huko The Fifith Settlement ,na kimeendelea hadi Februari 6,2023 kwa jina la “Kwa jina la Misri, pamoja Twasoma, Twafikiri, Twabuni ..” na mwandishi “Salah Gahdeen” amechaguliwa ili awe mhusika katika maonesho katika mwaka huu , na Ufalme wa Wahashemi wa Jordan utashiriki kama mgeni rasmi, na itazingatiwa miongoni mwa mikutano ya kitendo kwa wachapishaji katika ngazi za ulimwengu, ambapo wachapishaji 1047 wa Misri, Waarabu na wa kigeni kutoka nchi 53, ikiwa ni pamoja na nchi mpya kama Hungaria na Jamhuri ya Dominika, hushiriki katika hilo, pamoja na shughuli za kitamaduni zinazojumuisha mikutano na waundaji, waandishi, wanafikra, wasanii, alama, na Misri, Kiarabu. na takwimu za kimataifa, ili kuongeza jukumu la utamaduni katika kujenga mustakabali unaoutarajia.

Back to top button