Watawala Wa Misri

Khedevi Ismail

0:00

Mtawala wa Misri kutoka kipindi cha ( 18 Januari 1863 – 26 Julai 1879).

  • Alijali  elimu, kilimo, viwanda na biashara. Na mnamo zama yake  Mfereji wa Suez ilifunguliwa.  Alijenga majumba mengi makubwa kama vile Jumba la Abdeen, Ras-Alteen na jumba la El Koba, pia alianzisha nyumba ya sayansi, nyumba ya vitabu, nyumba ya Opera,  nyumba ya mambo ya kale ya Misri, Chama cha kijiografia, na Daraja la Kasr El Nil.
  •  Alizaliwa mnamo 1830 huko Kairo.
  •  Ibrahim Pasha alijali malezi yake, kwa hivyo alijifunza misingi ya sayansi, Kiarabu, Kituruki na lugha ya Kiajemi, na kisha alisafiri kwenda Paris ili kudhibiti katika ujumbe wa tano wa Misri.
  •  Alirudi Misri wakati wa kushikilia Ibrahim Pasha  utawala wa  Misri na baada ya kifo chake aliondoka akielekea Astana.
  • Sultan wa Othmani alimteua mwanachama wa Baraza la maamuzi ya nchi ya  Othomani, na hakurudi tena Misri mpaka Abbas aliuawa.
  • Alikuwa naibu wa Said Pasha katika utawala wa Misri wakati akienda kwa Sudan, Syria, Hijaz na Astana.
  •  Said Pasha alimteua kama Sardar kwa jeshi la Misri, na alimwamuru kuzuia uasi wa baadhi ya  makabila huko Sudan mnamo1861; basi aliweza  kukomesha uasi huo.
  • Alichukua utawala wa Misri Januari 18, 1863.
  •  Aligeuza Baraza la Ushauri kwa  Halmashauri ya wanachama na  aliwawezesha watu kuchagua wawakilishi wake.
  •  Aligeuza Diwani ziwe wizara, na alianzisha wizara ya kwanza ili kushiriki hukumu, na alikomesha mahakama ya kibalozi na kuchukua nafasi ya mahakama zilizochanganywa.
  •  Kumalizika kuchimba  Mfereji wa Suez kulikuwa mnamo zama yake.
  • Alijenga majumba ya kifahari kama vile Jumba la Abdeen, Jumba la Ras Al-Teen na jumba la El Koba na kuanzisha nyumba ya opera na Daraja la Kasr El Nil.
  •  Alijali kilimo, akaongeza eneo la ardhi ya kilimo, kuchimba kwa  Mfereji wa El  Ibrahimia na Ismailia.
  • Alijenga viwanda, kati ya viwanda hivyo, viwanda 19 vya sukari  na kujenga minara 15 ili kuimarisha biashara.
  • Alijali  elimu na kuongeza bajeti ya wizara ya maarifa, na kumtuma Ali Mubarak kuendeleza sheria ya msingi ya elimu, alianzisha nyumba ya sayansi ili kuwatoa walimu na nyumba ya vitabu.
  • Mnamo zama yake baadhi ya magazeti yametokea  kama vile al-Ahram na Al watan na gazeti la shule, na alianzisha  Chama cha kijiografia na Nyumba ya mambo ya kale ya  Misri.
  •  Alifanya mkataba na Uingereza mnamo 1877 ili kuondokana na biashara ya watumwa.
  • Aliongeza katika rasimu na miradi ya maendeleo; akahitaji  mikopo, lililosababisha kuingiliwa nchi za nje nchini Misri kama kisiasa na kiuchumi.
  • uhisi wa uhuru wa Khedevi Ismail katika kuitawala  Misri ulisababisha kuhisia kwa Uingereza na Ufaransa wasiwasi kuhusu Misri, na kwa sababu ya utawala wao na hata pia uzito , Sultan wa Othomani alitoa amri ya kuondoka kwake manmo tarehe 26 Julai 1879.
  • Alisafiri baada ya kutengwa kwake kwenda Naples nchini Italia na kisha alihamia kukaa huko Astana.
  •  Alikufa mnamo Machi mwaka wa 1895.
Check Also
Close
Back to top button
اكتب رسالتك هنا
1
تواصل معنا
اهلا بك في بوابة " مصر الآن"