Utambulisho Wa Kimisri

Hazina ya ” Tahya Misr “

0:00

Hadithi ya hazina ya ” Tahya Misr “

Mnamo Juni 24, 2014 Rais Abd El Fatah El Sisi  alitangaza kuacha kwake nusu ya mshahara wake unaofikia Paundi elfu 42 za Misri,  karibu kiasi cha dola elfu 5,900 wakati huo, pia aliacha nusu ya utajiri wake kwa Misri, akitaka wamisri kutia bidii na kuungana katika kipindi hicho kupitia hali ngumu za kiuchumi zinazopitia Misri.

Mnamo Julai Mosi, 2014 Urais wa Jamhuri ulitangaza kuzindua hazina ya ” Tahya  Misri” ili kuanzisha hatua ya iliyotangazwa na Rais kwa kuanzisha hazina kwa kusaidia uchumi, na Urais ulitoa taarifa ulisema kwake : “kuwa hivyo inakuja kwa kuthamini vipindi vya hususa vilivyopitia Misri na zinazoambatana hali ngumu za kiuchumi na kijamii ziliharakisha hisia nzuri za wamisri kwenye taifa, pia zilionesha azimio la kitaifa na nia ya kweli kwa umati wa watu wa Misri kwa dharura ya kuvuka kwa Misri yetu pendwa kwa matumaini ya wakati ujao wenye uzuri unafaa historia yake ya zamani ya kale na mihangaiko ya wana wake”.

Na kwa kuamini kuwa wote tunapaswa kuanzisha uwezo wetu wa kibinafsi kwa kuwa moja ya vifaa kwa kujenga taifa kwa sababu ya changamoto zinazokabiliwa na taifa kwa viwango vyote, hasa kwa upande wa kiuchumi, imetimia kuanzishwa kwa akaunti kwenye benki kuu kwa namba ya 037037 kupokea michango ya wamisri katika ndani na nje ya nchi kwenye benki zote za Misri kwa akaunti ya hazina. Na inatarajiwa kuwa hazina chini ya uangalizi wa moja kwa moja kutoka kwa Rais wa Jamhuri.

Malengo ya hazina:

_ Maendeleo kamili ya kudumu ya kiuchumi, na kupunguza umaskini.

_ Kukidhi mahitaji ya wakazi walio maskini zaidi.

_ Kufanyika mikataba ya ushirikiano kati ya sekta za mahali penu, kimkoa na kimataifa mwingilio wa maendeleo endelevu.

_ Kuhimiza usharika wa sekta ya kibinafsi kama kichwa cha msingi kusukuma gurudumu la maendeleo kwa kushirikiana na pande husika za serikali.

Check Also
Close
Back to top button
اكتب رسالتك هنا
1
تواصل معنا
اهلا بك في بوابة " مصر الآن"