El Demerdash Tony
Mwanzilishi na Mkuu wa Shirikisho la Misri katika michezo ya kuogelea , mazoezi ya viungo na klabu za ndani ,pia ni mwanzilishi wa shughuli ya olimpiki na mwanachama wa kamati ya olimpiki ya kimataifa tangu 1960 hadi 1993.
Kuzaliwa na Ukuaji :
El Demerdash Tony alizaliwa Agosti 10, 1907 jijini la Mloii mkoani mwa Minya, alipatia shahada ya kwanza kilimo ,pia alifanya kazi katika Wizara ya mambo ya jamii .
Safari yake:
Bingwa wa Misri Na vyuo vikuu vya Uingereza kwa mazoezi ya viungo 1936 , alishiriki katika vikao hadi kikao cha Soul , Mkuu wa Shirikisho la mpira wa wavu 1946 , Mkuu wa Shirikisho la mazoezi ya viungo la kwanza , Mkurugenzi wa kikao cha bahari ya Mediterania mkoani Aleskandaria 1951.
Aliongoza Shirika la Uwanja wa Kairo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1954 hadi 1969.
Aliongoza jumbe za olimpiki katika mashindano ya London , Helnsy na Roma 1948,1952,1960 ,pia Mwanachama wa kamati ya olimpiki ya kitaifa milele.
Mwanzilishi wa makumbusho ya michezo ya Misri katika Uwanja , pia anashikilia nafasi ya Sekretarieti mkuu wa kamati ya olimpiki mnamo 1954 hadi 1969.
Nishani na Tuzo:
Alipatia Nishani ya kamati za Olimpiki za kiraia, naye ni mwanaraidha wa kwanza duniani anapatia Tuzo ya UNESCO mnamo 1988.
Kifo chake:
El Demerdash Tony alikufa mnamo Agosti 10, 1997.