Afrika Limo Moyoni Mwa Misri
-
Habari
Jumapili - 30 Julai 2023Rais El-Sisi ashiriki na viongozi wa Afrika kwa ajili ya mpango wa upatanishi kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine
Alhamisi Julai 27, Rais Abdel Fattah El-Sisi huko St. Petersburg, alishiriki katika mkutano na viongozi wa nchi za Afrika…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumapili - 30 Julai 2023Rais El-Sisi akutana na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Ramaphosa
Alhamisi Julai 27, Rais Abdel Fattah El-Sisi amekutana na Rais Cyril Ramaphosa, Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, pembezoni mwa…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Ijumaa - 28 Julai 2023Waziri wa Elimu ashuhudia utiaji saini wa azimio la Dar es Salaam “Kuwekeza kwa Watu Kujenga Uchumi Ulio na Tija, Jumuishi na Ustahimilivu”
Waziri wa Elimu na Elimu ya Ufundi, Dkt. Reda Hegazy ameshuhudia utiaji saini wa taarifa ya Mkutano wa Wakuu wa…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatano - 26 Julai 2023Misri yalaani mashambulizi ya kujitoa muhanga huko Somalia
Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje Jumanne, Julai 25, imelaani vikali shambulio…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumatano - 26 Julai 2023Waziri wa Elimu ashiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Mawaziri lenye kichwa cha habari “Kuwekeza katika Rasilimali watu na Kunufaika nayo katika Maendeleo (Fursa, Mafanikio na Changamoto)”
Ndani ya muktadha wa ushiriki wake katika shughuli za “Mkutano wa Rasilimali watu wa Afrika 2023”, uliofanyika nchini Tanzania Julai…
Uendelee kusoma » -
Vijana Na Michezo
Jumatatu - 24 Julai 2023Ubalozi wa Misri mjini Abidjan wampokea Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Misri
Balozi Dkt. Wael Badawi, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini Côte d’Ivoire, alimpokea Bw. Gamal Allam, Mwenyekiti wa…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumamosi - 22 Julai 2023Misri yatia saini Mkataba wa maelewano kati ya Kampuni ya Mji Mkuu wa Utawala wa Maendeleo ya Miji ya Jamhuri ya Kiarabu ya Misri na Shirika la Maendeleo la Mji Mpya huko “Mlima wa Hampden” katika Jamhuri ya Zimbabwe
Ubalozi wa Misri mjini Harare uliandaa ziara ya ujumbe wa Kampuni ya Mji Mkuu wa Utawala kwa Maendeleo ya Mijini…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumatano - 19 Julai 2023Waziri wa Makazi apokea mwaliko wa mwenzake wa Angola kutembelea Angola ili kuimarisha ushirikiano katika maeneo yenye maslahi ya pamoja
Dkt. Assem El-Gazzar, Waziri wa Makazi, Huduma na Jumuiya za Mijini, alipokea mwaliko kutoka kwa Bw. Carlos Alberto Dosanto, Waziri…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumatano - 19 Julai 2023Sheikh wa Al-Azhar ampokea Waziri wa Ulinzi wa Guinea Conakry na kujadili njia za kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kisayansi na utetezi
Mheshimiwa Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Shareif, alipokea Jumanne, Julai 18, katika Sheikhdom ya Al-Azhar, Meja Jenerali…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatano - 19 Julai 2023Mjumbe wa Rais Putin katika Mashariki ya Kati na Afrika akaribisha Mkutano wa kilele wa Kairo kwa nchi jirani za Sudan
Balozi Nazih Nagari, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri mjini Moscow, alikutana na Bw. Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa…
Uendelee kusoma »









