Afrika Limo Moyoni Mwa Misri
-
Utamduni
Jumatatu - 28 Agosti 2023Waziri wa Utamaduni akutana na ujumbe wa mpango wa “Waunge mkono Wasudan walioathirika na vita” kwa ajili ya kujadili njia za kutoa huduma za kiutamaduni kwa jamii ya Sudan nchini Misri
Dkt. Nevine Kilani, Waziri wa Utamaduni, na ujumbe wa mpango wa “Support for Sudanese Walioathirika na Vita”, iliyoongozwa na Dkt.…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumatatu - 28 Agosti 2023Mkuu wa Utawala na Usimamizi ashiriki katika mikutano ya Kamati ya Utendaji ya Chama cha Afrika cha Utawala wa Umma jijini Nairobi
Dkt. Saleh Al-Sheikh, Mkuu wa Shirika Kuu la Mashirika na Utawala, alishiriki katika kazi ya Kamati ya Utendaji ya Chama…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumatatu - 28 Agosti 2023Mamlaka ya Udhibiti wa Kitaifa yafanya mkutano kwa watoto wa Somalia wanaoishi nchini Misri ili kuanzisha malengo ya maendeleo
Taasisi ya Taifa ya Utawala na Maendeleo Endelevu (NIGSD), tawi la mafunzo la Wizara ya Mipango na Maendeleo ya Uchumi,…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatatu - 28 Agosti 2023Waziri Mkuu akagua Kituo cha Kisasa cha Viwanda vya Magari na Kikundi cha Watengenezaji wa Magari ya Afrika Kusini
Kando ya ushiriki wake katika mikutano ya 15 ya mkutano wa kilele wa kundi la BRICS, kwa niaba ya Mheshimiwa…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Alhamisi - 24 Agosti 2023Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti ampokea Balozi wa Misri katika hafla ya kumalizika kwa muhula wake
Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti Mahmoud Ali Youssef alimpokea Balozi Hossam Eddin Reda, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Alhamisi - 24 Agosti 2023Dkt. Sweilam ashiriki kikao cha”Siku ya Afrika..uvumbuzi na kubadilishana maarifa”
Pembezoni mwa ushiriki wa Mheshimiwa katika “Wiki ya Maji Duniani” huko Stockholm..Mhe Dkt Hani Sweilam,Waziri wa vyanzo vya maji na…
Uendelee kusoma » -
Habari
Alhamisi - 24 Agosti 2023Misri yasisitizia umuhimu wa mazungumzo ili kufikia suluhisho la Amani la mgogoro wa Niger
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Ahmed Abou Zeid alisema kuwa Misri inafuata kwa shauku na wasiwasi maendeleo…
Uendelee kusoma » -
Habari
Alhamisi - 24 Agosti 2023Waziri Mkuu afikia Afrika Kusini kushiriki katika mikutano ya Kilele ya 15 ya BRICS
Dkt. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu, Jumatano 23, alifikia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Reginald Tambo huko Johannesburg, Afrika…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumanne - 22 Agosti 2023Dkt. Sweilam akutana na Mratibu wa Maji wa USAID Global
Kandoni mwa ushiriki wake katika “Wiki ya Maji Duniani” mjini Stockholm, Prof. Hany Sweilam, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, alikutana…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Jumanne - 22 Agosti 2023Dkt. Sweilam ahudhuria uzinduzi wa Gazeti la Sauti ya Afrika kwa Maji (AVOW)
Kando ya ushiriki wake katika “Wiki ya Maji Duniani” huko Stockholm. Prof. Hany Sweilam, Waziri wa Maji na Umwagiliaji na…
Uendelee kusoma »









