Habari Tofauti
-
Alhamisi - 14 Septemba 2023Waziri wa Maendeleo ya Mitaa ajadiliana na Mshauri wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini kwa Masuala ya Mkakati na Mipango Miji ya ushirikiano wa pamoja kati ya pande hizo mbili
Meja Jenerali Hisham Amna, Waziri wa Maendeleo ya Mitaa, alimpokea Dkt. Chilidzi Ratchitanga, Mshauri wa Makamu wa Rais wa Jamhuri…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 12 Septemba 2023RC CHALAMILA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UJENZI NA MATENGENEZO YA BARABARA TARURA-DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 12 Septemba 2023RAIS DK.MWINYI KUSHIRIKI MKUTANO WA G77+CHINA NCHINI CUBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea Havana, Cuba kumwakilisha…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 11 Septemba 2023MAMA MARIAM MWINYI ATANGAZA KAMPENI YA “AFYA BORA, MAISHA BORA” TAREHE 30 SEPTEMBA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 11 Septemba 2023TUENDELEE KUMPA USHIRIKIANO RAIS WETU
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kumuamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 5 Septemba 2023Dkt. Sweilam aongoza kikao cha “Kuharakisha Uwekezaji wa Maji unaoweza kushinda Mabadiliko ya Hali ya Hewa Barani Afrika” katika Mkutano wa Hali ya Hewa wa Afrika
Ndani ya shughuli za “Mkutano wa Hali ya Hewa wa Afrika” uliofanyikwa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Prof. Hany…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 5 Septemba 2023Misri.. «Mgeni Rasmi» ya Mkutano wa Kwanza wa Uchumi wa Taifa wa Sudan Kusini huko Juba
Jumatatu Septemba 4, Dkt. Mohamed Maait, Waziri wa Fedha alishiriki katika mkutano wa kwanza wa uchumi wa taifa la Sudan…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 5 Septemba 2023MAMA MARIAM MWINYI AZINDUA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI BURE KWA WANANCHI ZANZIBAR
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 5 Septemba 2023Waziri wa Mazingira, Mratibu wa Mawaziri na Mjumbe wa Mkutano wa Hali ya Hewa wa COP27 ashiriki katika kikao cha kukabiliana na Bara la Afrika
Dkt. Yasmine Fouad, Waziri wa Mazingira, Mratibu wa Wizara na Mjumbe wa Mkutano wa Hali ya Hewa wa COP27, alikagua…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 5 Septemba 2023Waziri Mkuu akagua hospitali ya Kikoptiki ya Misri katika mji mkuu wa Kenya Nairobi
Jumatatu jioni Septemba 4, Dkt. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu alikagua Hospitali ya Kikoptiki ya Misri katika mji mkuu wa…
Uendelee kusoma »









