Habari
MAMA MARIAM MWINYI ATEMBELEA CRDB BURUNDI
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi ametembelea benki ya CRDB Bujumbura Burundi leo tarehe 12 Oktoba, 2023
Mama Mariam Mwinyi ametembelea benki hiyo kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB Burundi Fredrick Siwale.