Habari

RAIS DK.MWINYI ASHUHUDIA UTIAJI  SAINI  UANZISHWAJI CHUO CHA TEKNOLOJIA IIT KAMPASI YA ZANZIBAR

0:00

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo  ameshuhudia halfa ya  utiaji saini wa uanzishwaji wa tawi la Chuo  Kikuu cha Teknolojia cha IIT Madras, India kwa Kampasi ya Zanzibar uliofanyika Ikulu Zanzibar .

Uanzishwaji wa Chuo hicho cha kampasi ya Zanzibar ni moja kati ya vyuo vya Teknolojia kitakachozalisha wasomi na wataalam katika fani ya Teknolojia na Sayansi kwa viwango vya Kimataifa.

Halfa hiyo fupi imehudhuriwa na Waziri wa Mambo ya nje wa India Mhe.Subrahmanyam Jaishankar

Back to top button