Habari
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais akiongoza ujumbe wa Tanzanja katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Jumuiya ya SADC
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano & Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb.) akiongoza ujumbe wa Tanzanja katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Jumuiya ya Kusini mwa Africa (SADC) wanaosimamia masuala ya Mazingira, Maliasili na Utalii.
Mkutano huo umeongozwa na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo umefanyika kwa njia ya Mtandao,leo 22/06/2023 Mkoani Dodoma.