Vijana Na Michezo

Rais El-Sisi aipongeza Al-Ahly kwa ushindi wake katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika

Mervet Sakr

0:00

Rais Abdel Fattah El-Sisi ameipongeza Klabu ya Al-Ahly na mashabiki wa Misri kwa kushinda Ligi ya Mabingwa wa Afrika, akisifu mafanikio ya kihistoria yaliyopatikana kwa kutwaa ubingwa kwa mara ya 11, na kusifu moyo wa hali ya juu wa wanachama wote wa timu hiyo, inayionesha nguvu ya dhamira ya kushinda, na kuelezea matakwa yake ya kuendelea kushinda michezo ya Misri katika michezo na mashindano mbalimbali.

Back to top button