Habari

DKT.MWINYI AFUNGUA SKULI YA MSINGI YA GHOROFA KIDONGO CHEKUNDU

Ahmed Hassan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefungua Skuli ya msingi ya ghorofa Kidongo chekundu iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za UVIKO 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF) leo, Mkoa wa Mjini Magharibi .
Back to top button