Rais Abdel Fattah El-Sisi, Kamanda Mkuu wa Majeshi, aliongoza kikao cha Baraza Kuu la Majeshi, kilichofanyika jana jioni katika makao makuu ya Sekretarieti Kuu ya Wizara ya Ulinzi, ambapo mkutano huo ulijadili mada kadhaa zinazohusiana na shughuli na majukumu ya vikosi vya jeshi na juhudi zao katika kulinda nguzo za usalama wa taifa la Misri kwa maelekezo yote ya kimkakati, na mkutano huo ulikuwa na maonesho ya matukio yanayojiri huko Sudan ndugu, kama tija ya mapigano kati ya vikosi vya jeshi na vikosi vya usaidizi haraka huko Sudan, na matarajio ya hali hiyo mnamo kipindi kijacho cha matokeo na athari zinazoathiri Usalama na Amani za kanda.
With Product You Purchase
Subscribe to our mailing list to get the new updates!
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur.
Related Articles
Waziri wa Mambo ya Nje na Uhamiaji akutana na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Somalia na Eritrea katika mkutano wa pamoja wa pande tatu
Jumatatu - 23 Septemba 2024
Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Masuala ya Wamisri huko nje atoa hotuba ya Misri katika Mkutano wa Mustakbal uliofanyikwa katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Jumapili - 22 Septemba 2024
Misri yatoa msaada wa dawa kwa Cameroon… Kushiriki katika mpango wa Rais wa Cameroon wa kupambana na kuenea kwa virusi vya C
Ijumaa - 6 Septemba 2024
Waziri Mkuu ashiriki kwenye ufunguzi wa mkutano wa kilele wa ushirikiano wa China- Afrika mjini Beijing
Alhamisi - 5 Septemba 2024
Al-Azhar yatoa wito wa kuuwepo kwa kampeni ya kimataifa ya kutoa misaada kwa watu wa Sudan
Alhamisi - 5 Septemba 2024
Waziri Mkuu ahudhuria hafla ya chakula cha jioni kwa heshima ya Rais wa China na mkewe
Jumatano - 4 Septemba 2024
Check Also
Close
- Kufanyika kwa Kamati ya Kudumu ya Ufuatiliaji wa Mahusiano ya Misri na AfrikaJumanne - 3 Septemba 2024
- Waziri Mkuu aelekea Beijing kushiriki kwenye Mkutano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC)Jumatatu - 2 Septemba 2024
- Waziri Mkuu ampokea Waziri Mkuu wa SomaliaJumapili - 1 Septemba 2024