Leo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua jengo la huduma za dharula la hospitali ya Wilaya ya Maswa.
Jengo hilo la kisasa limetumia Shilingi Milioni 311 hadi kukamilika kwake na tayari limepokea vifaa vya kisasa vyenye thamani ya shilingi milioni 405 na tayari limeanza kutoa huduma kwa wananchi.