Habari
Prof. Carolyne Ignatius Nombo ni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia

0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Carolyne Ignatius Nombo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.