Habari
Mhe. Christina Solomon Mndeme ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Christina Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.