Habari

Kheri Abdul Mahimbali ni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kheri Abdul Mahimbali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Back to top button