Habari

Waziri wa Mambo ya Nje asisitiza kuwa sekta binafsi ya Kimisri ina jukumu kuu katika kusisimua ushirikiano wa kiuchumi kati ya Misri na Nchi za Kiafrika

Nour Khalid

Balozi Hamdy Sand Lwza ,Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje kwa Masuala ya Kiafrika ameshiriki katika kikao cha ufunguzi cha mkutano wa jukwaa la kwanza kwa jumuiya ya wafanyabiashara wa Misri na Mabalozi wa Kiafrika huko mjini Kairo ” Africa in Focus” , kwa naiba ya Waziri Sameh Shoukry mnamo Februari 6 , kinachofanywa kwa ukaguzi wa Waziri wa Mambo wa Kigeni, kinachopangwa na jumuiya ya wafanyabiashara wa Kimisri na kundi la Mabalozi wa Kiafrika nchini Misri , Na mkutano huu unashuhudia ushiriki wa idadi kubwa za makampuni ya Kimisri, sekta mbalimbali , wawakilishi wa wizara za Kimisri, taasisi za kimataifa, idadi kubwa za alama za jumuiya ya shughuli za Kimisri, benki , na taasisi za kifedha Kimisri na Kiafrika.

Katika hotuba ya Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje katika ufunguzi wa mkuty, iliyosemwa na Balozi Hamdy Sand Lawza kwa naiba yake , Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje kwa Masuala ya Kiafrika , alisisitiza kwamba jukwaa limebainisha kwa kitendo kuwa Misri inatilia manani kuimarisha mahusiano yake ya kichumi na nchi za bara la Afrika, zimezoanza njia yake katika kuendea miundombinu kwa makini , ingawa vigumu vyote vya kisiasa, kichumi na kiusalama vinavyozikabili . lakini zinazingatia maendeleo ni njia kuu ili kukabiliana changamoto hizo ,na kuzimudu. aliongeza kuwa miaka iliyopita inashuhudia maendeleo wazi katika kubadilisha biashara na uwekezaji na nchi mbalimbali za bara hilo , kulingana na takwimu hii, zinazobainisha kuongezeka kwa uwepo wa uchumi wa Misri Barani Afrika .

Waziri Bw.Shokry aliangazia jukumu muhimu la sekta binafsi ya Kimisri katika kusisimua ushirikiano wa kichumi kati ya Misri na nchi za Kiafrika , kwani uwezo na ujuzi, na mafunzo katika kutendana na masoko ya Kiafrika, na mambo yanayohimizwa na serikali pamoja na sekta za serikali.

Waziri wa mambo ya Nje kupitia hotuba yake alisisitiza kuwa Misri inaelekea kuimarisha ushirikiano wa uwekezaji na kibiashara kwa nguvu na nchi mbalimbali za Kiafrika kwa taratibu kwa umakini , na pia mafanikio mbalimbali yametekelezwa katika kuanzisha miradi mikuu katika nchi mbali za miundombinu, nishati na nyingine sawa katika sekta za serikali au kibinafsi katika nchi mbalimbali za Kiafrika.

Kwa upande mwingine, hotuba ya Waziri Sameh Shokry inajumuisha kuonesha jukumu la Misri katika uungaji mkono Ajenda ya 2063 , na programu za kuboresha miundombinu Barani Afrika, inayojumuisha kutekeleza kuhikamana na kuunganisha na kutafuta changamoto zozote za usafirishaji hasa kupitia mradi wa Njia ya Kairo .
Cape Town , na Mradi wa kuunganisha bahari ya katikati katika ziwa la Victoria , aliagazia jukumu la serikali, na raia wa Kiafrika katika kuteleza maendeleo kwa ngazi ya bara , na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi za Kiafrika kwa ajili ya kuteleza manufaa ya pamoja kwa nchi zote , kupitia kunufaisha rasilimali ya binadamu na kifedha zinazopatikana kwa ngazi ya bara.

Back to top button