Wahusika Wamisri

Dokta Samira Mousa “Miss Kori Alsharq”

0:00

Samira Mousa mwanasayansi wa Chembe wa kwanza mmisri na profesa wa kwanza katika chuo kikuu cha Kairo .

 Lakabu yake ilikuwa “Miss Kori Alsharq”ikahusiana na fizikia wa kipolishi “mari kori”na profesa wake mmoja katika chuo kikuu cha Bedford katika ripoti yake ya kisayansi kwa chuo kikuu cha Kairo,alisema kuwa majaribio ya Samira Mousa yalibadilika uso wa Utu .

Ukuaji wake na Masomo yake :

Samira Mousa amezaliwa tarehe 3 mechi 1917 kijijini mwa Snebo Alkubra kituo cha Zefti mkoa wa Algharbia nchini Misri,Samira alijifunza kusoma na kuandika na tangu utoto wake ameshughulika kwa kusoma magazeti ya kila siku na Mwenyezi Mungu alimpa kumbukumbu ya picha ambayo ilimwezesh kuhifadhi kitu chochote haraka alipoiona ,jambo lililomsaidia katika mafanikio yake ya kielimu.

Samira Mousa amejiunga shule ya msingi (Senbo)na amehifadhi badhi ya qurani na ameshughulika kwa kusoma magazeti ,kisha babake amesafiri ili kufanya kazi mjini Kairo ,na Samira amejiunga na shule ya msingi ya “Qasr Al-Shawq”na kisha shule maalumu  ya wasichana ya sekondari “AL-Ashraf”.

Samira Mousa alichagua kitivo cha Sayansi katika chuo kikuu cha Kairo na wakati huu Dokta Mostafa Mosharfa alikuwa Mkuu wa chuo kikuu.Samira Mousa alipokea shahada ya Kwanza ya Sayansi .alikuwa wa kwanza lakini hakuteuliwa kama Profesa wa chuo kikuu ila baada ya kuungwa mkono na professa wake Dokta Mousata Mosharafa ambaye alitetea uteuzi wake dhidi ya maprofesa wageni na akaweka kujiuzulu kwake katika ofisi ya mkurugenzi wa chuo kikuu ikiwa hakuchaguliwa kama profesa katika kitivo,hata wameangalia na kujibu kwa ombi lake na aliainishwa profesa wa kwanza katika chuo kikuu cha Kairo

Samira amepokea cheti cha Uzamili  kwa daraja bora katika maudhui ambayo kichwa chake ni “Mawasiliano ya Mafuta kwa Gesi”.

kupata kwake kwa Uzamivu       

Samira Mousa amesafiri kwa London na amepata cheti cha Uzamili  katika maudhui  ya Mawasiliano ya Mafuta kwa Gesi.Kisha amesafiri pamoja na ujumbe kwa Uingereza ambapo alisoma mionzi ya nyuklia na alipata cheti cha Uzamivu katika X-ray na athari zake juu ya vifaa mbalimbali.ameweza kumaliza ujumbe wake katika miaka miwili tu na ametumia mwaka wa tatu katika tafiti mfululizo na kupitia zile alifikia  mlingano muhimu unaomwezesha kusagasaga  Maadini rahisi kama shaba ili kutengenza bomu la Chembe kwa vifaa rahisi

Amekuwa mwanamke mwarabu wa kwanza aliyepata cheti cha Uzamivu .pia,amepatia ufadhili  wa ” Fullbright”  ili kusoma Chembe katika  chuo kikuu cha Calofinia,na ameweza kupatia matukio katika nyanja za tafiti za Chembe zilizoshangaza jamii za kisayansi huko Amerika na Ulaya,kwa sababu hii ameruhusiwa kutembelea maabara ya siri ya Chembe huko Amerika,alizingatiwa mmisri wa  pekee aliyeruhusiwa kufanya hivyo na alipata mapendekezo kadhaa ili kuendelea pale Amerika na kupata Utaifa wa Marekani  lakini yeye alikataa na amependa kurudia Misri ili kuendelea ujumbe wake wa kisayansi.

Aliitwa kwa  “Miss Kory wa Misri” na kuanzia kujenga  shirika la nishati ya Chembe mwaka1948 kama aliandaa mkutano  wa “Chembe kwa Amani”.

Samira Mousa amesafiri kwenye Marekani ili kusoma katika chuo kikuu cha “Okerdig ”mjini “Tinisi ”.

Check Also
Close
Back to top button