Vijana Na Michezo

Misri yawania kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027

Mervet Sakr

 

Misri imewasilisha ombi rasmi la kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 katika mashindano na zabuni nyingine tatu.

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kupokea zabuni nne za kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027.

Kulingana na taarifa ya CAF, Misri imewasilisha faili rasmi; kuandaa mashindano hayo yaliyopangwa kufanyika mwaka 2027.

Back to top button