Habari
RAIS DKT.MWINYI AMEKUTANA NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA
Ahmed Hassan

0:00
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Dkt.Mch. Godwin Lekundayo na Ujumbe wake waliofika Ikulu kwa Mazungumzo .

Aidha, Askofu Dktt.Lekundayo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais Dkt.Mwinyi kwa jitihada inazofanya kuwaletea Maendeleo Wazanzibari na Kuendelea Kudumisha Amani na Utulivu kwa Taifa .

