Uchumi

Waziri wa Fedha: Serikali yatoa ahueni mfumuko wa bei

0:00

Ili kudhibiti mfumuko wa bei Serikali imesema baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa hali ya mfumuko wa bei za bidhaa haitakua kama ilivyo sasa.

Hayo ymesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaja hatua ambazo zilizochuliwa na Serikali ili kudhibiti mfumuko wa bei ikiwemo kuweka mikakati mbalimbali ya uzalishaji na kikodi.

Dkt Mwigulu amesema ruzuku iliyotolewa kwenye mbolea na mafuta na mazao yatakayozalishwa katika maeneo yaliyotumia ruzuku yatakuwa kwa bei nafuu kuliko yale yanayozalishwa bila bei ya ruzuku.

Back to top button