Rais Samia Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri
Ahmed Hassan
Jumatano - 8 Febuari 2023
0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 February 2023.