Habari

Rais Samia Hassan kushiriki Mkutano Maalum wa (EAC)

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Back to top button