Habari TofautiVijana Na Michezo

Wafanyakazi wa (JKCI) kufanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging)

Ahmed Hassan

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 7 wakati wa muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”.

Matembezi hayo yamefanyika jana kwa mara ya tano Jijini Dar es Salaam tangu yazinduliwa mwezi Desemba mwaka 2022.

Back to top button