Rais Samia Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini Askofu Mkuu Angelo Accattino mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Pia rais Samia amefanya mazungumzo na Balozi wa Vatican hapa nchini Askofu Mkuu Angelo Accattino mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho. Na katika Mazungumzo yao wamegusia kuhusu kushirikiana zaidi kwenye Afya, Elimu, Mazingira na Amani.