Habari

RAIS DK.MWINYI ASHIRIKI DHIFA IKULU DAR

Ahmed Hassan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki  halfa ya chakula cha jioni kwa  ajili ya  Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame aliyoandaliwa na Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu.

Back to top button