Utamduni
-
Waziri wa Utamaduni akutana na ujumbe kutoka Afrika Kusini kwa kukubaliana juu ya shughuli za “Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini”
Dkt. Nevine Kilani, Waziri wa Utamaduni, amekutana na ujumbe wa Wizara ya Utamaduni na Sanaa huko Afrika Kusini, kwa kujadili…
Uendelee kusoma » -
“Kwa Jina la Misri pamoja twasoma, twafikiri, twajenga”.. Kauli mbiu ya toleo la 54 la Maonesho ya Kimataifa ya Kitabu yaKairo
Dkt. Nevin El-Kilani, Waziri wa Utamaduni, alitangaza kuwa Toleo la 54 la Maonesho ya Kimataifa ya Kitabu ya Kairo litafanyika…
Uendelee kusoma » -
Mpango wa Afromedia wajadili kitabu “Julai katika Macho ya Kiafrika” (July in African Eyes)
Jumapili ijayo, Mpango wa Afromedia utajadili kitabu “Julai katika Macho ya Kiafrika” cha Dkt. Mohamed Abdel Karim, Mtafiti mtaalamu katika…
Uendelee kusoma » -
Hadithi ya ndege na wanyama… Kituo cha Utamaduni cha Talaat Harb
Kituo cha Utamaduni cha Talaat Harb huko Sayeda Nafisa, kinachohusishwa na Sekta ya Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni, kina warsha…
Uendelee kusoma » -
Meli ya “Logos Hope” jijini Port Said yapokea wageni 6000 mnamo siku yake ya kwanza
Meli ya vitabu ya “Logos Hope” katika bandari ya kiutalii ya Port Said, tangu kufikia kwake Mkoa wa Port Said,…
Uendelee kusoma » -
Kituo cha Kitaifa cha Tafsiri chaomboleza kifo cha Mkuu wa Watafsiri Mohamed Anany
Kituo cha Kitaifa cha Tafsiri, kinachoongozwa na Dkt. Karma Sami, kinaomboleza Mtafsiri Mkuu Mohamed Anany, aliyefariki Dunia Jumanne asubuhi, na…
Uendelee kusoma » -
Marwan Wahid Hamed aadhimisha miaka miwili tangu kifo cha baba yake
Mtoaji wa Semina Marwan Hamed aliadhimisha kifo cha baba yake, mwandishi wa filamu Wahid Hamed, aliyefariki Dunia katika Siku kama…
Uendelee kusoma » -
Lugha ya Kiarabu, Vyombo vya Habari na wageni wakisherehekea lugha ya Kiarabu huko Chuo Kikuu cha Ain Shams
Chuo Kikuu cha Ain Shams kimefanya sherehe kubwa katika maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiarabu Duniani, iliyozinduliwa na Mkuu…
Uendelee kusoma »