Habari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki maadhimisho ya siku ya chakula dunian

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2023. ameshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) , yaliyofanyika makao makuu ya Shirika hilo Rome, Italia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na kupiga picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa FAO Dkt. Qu Dongyu alipowasili kwenye makao makuu wa shirika hilo.

Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.

Back to top button