Habari

MAMA MARIAM MWINYI ASHIRIKI HAFLA FUPI KWA MKE WA RAIS WA BURUNDI

Mke wa Rais wa Zanzibar,  Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameshiriki katika hafla fupi ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na mwenyeji wake Mke wa Rais wa Burundi Mhe.Mama Angeline Ndayishimiye kwenye makazi yake binafsi yaliyopo kitongoji cha Kajaga, Bujumbura pembezoni mwa Ziwa Tanganyika leo tarehe 08 Oktoba 2023.

Back to top button