Habari Tofauti

MAMA MARIAM MWINYI ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA VITUO VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM ZANZIBAR

Mervet Sakr

MAMA MARIAM MWINYI ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA VITUO VYA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM ZANZIBAR

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr  kwa vituo vya Watoto wenye mahitaji maalum ikiwemo kituo cha Watoto wenye Virusi vya Ukimwi(HIV) Kwarara , kituo cha Kijiji cha SOS na kituo cha Watoto Mazizini Unguja  katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr .

Back to top button