Habari Tofauti

ZANZIBAR KUPIMA UBORA WA BIDHAA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Ahmed Hassan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina dhamira ya dhati kuhakikisha usalama wa Wananchi kwa kulinda afya zao kupitia hatua stahiki za kupima ubora wa bidhaa mbalimbali zinazotumika nchini.
Aidha, Dkt. Mwinyi aliyesema hayo wakati wa ufunguzi wa maabara mpya Nne za kisasa za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) ambazo ni Maabara ya Vimelea, Vifungashio,Nguo na Ngozi pamoja na Umeme.
Vilevile, hatua hii inafungua ukurasa mpya wa maendeleo katika suala la uchunguzi wa ubora wa bidhaa Zanzibar kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.
Back to top button