Habari

Rais Samia Hassan afanya mazungumzo na Rais Hakainde Hichilema

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia.

Back to top button