Habari

Rais Samia Hassan afanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Dunia Victoria

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa pamoja na ujumbe wake, Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.

Back to top button