Afrika Limo Moyoni Mwa Misri
-
Habariالجمعة - 15 سبتمبر 2023
Rais El-Sisi ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Bi.Catherine Colonna
Rais Abdel Fattah El-Sisi, Alhamisi Septemba 14, alimpokea Bi.Catherine Colonna, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwa mahudhurio ya…
أكمل القراءة » -
Habari Tofautiالخميس - 14 سبتمبر 2023
Waziri wa Maendeleo ya Mitaa ajadiliana na Mshauri wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini kwa Masuala ya Mkakati na Mipango Miji ya ushirikiano wa pamoja kati ya pande hizo mbili
Meja Jenerali Hisham Amna, Waziri wa Maendeleo ya Mitaa, alimpokea Dkt. Chilidzi Ratchitanga, Mshauri wa Makamu wa Rais wa Jamhuri…
أكمل القراءة » -
Habariالخميس - 14 سبتمبر 2023
Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Kiuchumi ashiriki katika mkutano wa kila mwaka wa mawaziri wa Mfumo wa Mapitio ya Rika la Afrika
Dkt. Hala El-Said, Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Uchumi, alishiriki leo katika mkutano wa kila mwaka wa mawaziri wa…
أكمل القراءة » -
Habariالخميس - 14 سبتمبر 2023
Waziri wa Mambo ya Nje wa ampiga simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco
Waziri wa Mambo ya Nje Sameh Shoukry alifanya mazungumzo kwa njia ya simu siku ya Jumanne Septemba 12 na Waziri…
أكمل القراءة » -
Habariالسبت - 9 سبتمبر 2023
Rais El-Sisi ashiriki katika mkutano wa kilele wa Afrika na Ulaya
Jumamosi Septemba 9, Rais Abdel Fattah El-Sisi alishiriki mjini New Delhi katika mkutano wa kilele wa mataifa ya Afrika na…
أكمل القراءة » -
Habariالسبت - 9 سبتمبر 2023
Misri yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Mali
Jumamosi, Septemba 9, Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vibaya mashambulizi…
أكمل القراءة » -
Habariالسبت - 9 سبتمبر 2023
Misri yapeleka salamu za rambirambi kwa ufalme wa Morocco kwa wahanga wa tetemeko la ardhi
Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje leo, Septemba 9, 2023, imetoa rambirambi…
أكمل القراءة » -
Uchumiالسبت - 9 سبتمبر 2023
Al-Qusayr ajadiliana na Waziri wa Maliasili na Uvuvi wa Tanzania kuhusu kuimarisha ushirikiano katika uwanja wa ufugaji
Kandoni mwa ushiriki wake katika shughuli za Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika lililofanyika jijini Dar es Salaam, Makao Makuu…
أكمل القراءة » -
Habariالثلاثاء - 5 سبتمبر 2023
Dkt. Swailem akutana na Waziri wa Maji na Maji Takataka wa Kenya kujadili kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika uwanja wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji
Kandoni mwa Mkutano wa Hali ya Hewa wa Afrika uliofanyikwa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Prof. Hany Sweilam, Waziri…
أكمل القراءة » -
Habari Tofautiالثلاثاء - 5 سبتمبر 2023
Dkt. Sweilam aongoza kikao cha “Kuharakisha Uwekezaji wa Maji unaoweza kushinda Mabadiliko ya Hali ya Hewa Barani Afrika” katika Mkutano wa Hali ya Hewa wa Afrika
Ndani ya shughuli za “Mkutano wa Hali ya Hewa wa Afrika” uliofanyikwa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Prof. Hany…
أكمل القراءة »