Maeneo Ya Kihistoria
-
Msikiti wa Al-Hakim Bi-Amr Allah….Kito cha usanifu cha kupendeza kwenye moyoni mwa Kairo
“Kitu cha kichawi na cha ajabu kinaufunika moyo wakati mtu anapoingia kwenye ua wa msikiti wa Fatimid wa Al-Hakim Bi-Amr…
Uendelee kusoma » -
Chuo kikuu cha Al-Azhar ..Chuo kikuu kikubwa zaidi Duniani
Kimeanzishwa kabla ya Chuo kikuu cha Polonia huko Italia, pia kinazingatiwa chuo kikuu cha tatu cha zamani zaidi baada ya…
Uendelee kusoma » -
Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu wa Misri
Ndani ya mji wa kihistoria wa Fustat huko eneo la Misri kale huko Kairo, kuna Jumba la Makumbusho la Kitaifa…
Uendelee kusoma » -
Mkusanyiko wa Dini huko Misri ya kale ambapo Dini tatu hukutana
Eneo la Mkusanyiko wa Dini huko Misri ya Kale ni mojawapo ya maeneo muhimu zaidi ya kiakiolojia yaliyoko katika mji…
Uendelee kusoma » -
Klabu ya Al- Masry
Ilianzishwa baada ya mapinduzi ya 1919 ili kupambana na Wakoloni. Klabu ya Almasry ilianzishwa mnamo tarehe Machi 18, mwaka 1920…
Uendelee kusoma » -
Msikiti wa Amr bin al-Ass
Kando ya mashariki ya Mto Nile wa Misri wa zamani, kwenye eneo la mita 22,86, kwa mita 13,716, na kwenye…
Uendelee kusoma » -
Klabu ya Ghazl Almehlla
ilianzishwa mwaka 1936 na Talaat Harb. Klabu ya Ghazl Almehlla ni moja ya klabu kale zaidi za mpira nchini Misri. Ilianzishwa…
Uendelee kusoma » -
Msikiti wa Mohamed Ali Pasha
Taji ya Misikiti ya kimisri Msikiti wa Mohammed Ali ni moja wapo ya alama mashuhuri zaidi mjini Kairo ya kihistoria,…
Uendelee kusoma » -
Makumbusho ya kitaifa ya Aleskandaria
Ni miongoni mwa Makumbusho ya Aleskandaria na yako karibu na njia ya uhuru Ni kama jumba la zamani la mfanyabiashara…
Uendelee kusoma » -
Hekalu la Karnak
Ni mkusanyiko wa mahekalu ya Karnak, ambao unajulikana kama Hekalu la Karnak, kwa kweli ni mkusanyiko wa mahekalu, majengo na…
Uendelee kusoma »