Habari

DK.MWINYI ASHIRIKI KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA DODOMA

 

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao Maalum cha Kamati kuu ya  Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kimeongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan.

Back to top button