Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu wa Misri
Ndani ya mji wa kihistoria wa Fustat huko eneo la Misri kale huko Kairo, kuna Jumba la Makumbusho la Kitaifa la Ustaarabu wa Misri, ambapo mahali pake pa kijiografia panajumuisha mabaki ya kale ya ustaarabu tofauti, basi kuwa ni shahidi bora ya uvumilivu wa dini nchini Misri, chimbuko la ustaarabu.
Pia, Makumbusho hayo yazingatiwa ya kwanza ya aina yake huko Misri na Ulimwengu wa Kiarabu , yanayotoa Kwa kina yanayohusu Ustaarabu wa kimisri mnamo zama kabla ya historia hadi sasa hivi kupitia kuonesha Ushirikiano kati ya Wamisri na ardhi hiyo ambapo wanaiishi mnamo historia nzima kupitia maudhui ya kiustaarabu yalichaguliwa ; kuangazia Urithi unaonekana na usionekana nchini Misri, pia Makumbusho ya Ustaarabu yazingatiwa Kituo muhimu cha kielimu na kiutafiti kwa wanaotembelea wakiwemo Wamisri au wageni huko.
Aidha,mafarao wameuchukua sehemu kuhusu mji mkubwa , Wababeli wameufanya makazi yao wakati wanapokuja Misri , Kisha Warumi wameuchukua makao makuu kwa kuwatetea wanayaunganisha pande mbili za bahari na juu ya Misri , na kupitia huo wanapambana Kila adui wa nje dhidi ya Misri , pia Wayahudi na Wakristo wameuchukua makao makuu; kuanzisha mila zao , na baada ya Ushindi wa Kiislamu, Amr ibn Al_Aas ameuchukua mji mkuu na nyumba ya uhamiaji wa Waislamu wote, vile vile mahali ya Makumbusho yanatofautisha kuwa na ziwa la asili la pekee nalo ni Ziwa la Ain Al_Sira, hilo ni la pekee lipo huko Kairo baada ya kuficha maziwa mengi .
Pia wazo la kujenga Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu wa Misri linarudi zama ya Mfalme Farouk mnamo 1938 hadi 1949, pia kwa sababu ya utashi wa Mfalme huyo kuhusu kujenga Makumbusho yanafanana na Makumbusho ya Ulaya yanathibitisha Ustaarabu tofauti wa Misri , na mnamo wakati huo Jumuiya ya Kilimo imeainisha jengo kamili ndani yake ; kujenga mfumo wa Ustaarabu Ili kuonesha awamu zote za kihistoria nchini Misri kupitia uchoraji na Vitu vya Kale .
Baada ya miaka kadhaa iliyopita, mnamo1982, fikra ya kujenga Makumbusho hayo yalifanyawa upya baada ya kampeni ya kimataifa iliongozwa na Shirika la “UNESCO” Ili kujenga Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu, pia baada ya miaka 17 iliyopita mahali hapo paliteuliwa kwa Makumbusho na mchakato wa kujenga na kuchimba ulianza mnamo 2000, vilevile ujenzi wa Makumbusho hayo unalenga yawe Kituo cha Utamaduni, Ustaarabu, elimu na utafiti … Pamoja na kuwa Kituo cha Mawasiliano ya jamii, ndani , kikanda na kimataifa kwa ajili ya kufanya juu chini kuhifadhi Urithi wa Ustaarabu wa Misri wa jadi, na kuulinda kutoka kupora na kuficha , na yanachukua vitu vya kale elfu50 tofauti mnamo zama za kabla ya familia hadi zama ya sasa.
Pia Makumbusho hayo yana ubunifu wa pekee huko Misri katika Uwanja wa Usanifu na Teknolojia ya kisasa kwenye eneo la ekari 33,5, Mhandisi Dokta Ghazali Kasiba aliyaunda , ambao mradi wake wa ubunifu wa Makumbusho hayo ulishinda katika mashindano ya kimataifa mnamo 1984, pia mashindano ya Makumbusho hayo yaliundwa na mbunifu wa Japan Arata Isozaki .
Vilevile, Makumbusho hayo yana ghorofa kadhaa, juu yake ukumbi wa umbo la piramidi, unaitwa ” ukumbi wa piramidi” au ” ukumbi wa panorama ya Juu”, unajumuisha skrini9 (3D) , zimewekwa kwenye kuta zake , inaoneshwa kupitia hizo historia ya Misri na mambo ya kale ya Farao, Kwa sauti na picha, pia katikati ya ukumbi Iko kwenye sakafu umbo la Makumbusho zima, kumbi zake tofauti kuingia na kutoka , pia ukuta wa ukumbi huo uliundwa kwa jasi ya kuzuia sauti, Ili kuzuia mgeni kutoka kwa kelele na sauti za nje, na inamfanya kufurahia wakati wake ndani wake .
Kumbi za Makumbusho:
Ukumbi mkuu na ukumbi wa mummies ya kifalme, ukumbi wa maonyesho ya muda, mwanzo kabisa wa ustaarabu, Nile na mji mkuu, uandishi na sayansi, serikali na jamii, utamaduni, imani na mawazo. vitu vyake vimeundwa kwa mlolongo wa kihistoria wakati wa vipindi vinane vikuu: kabla ya Historia, zama yakale sana, zama ya kifarao, zama ya Greco-Roman, zama ya kikoptiki, zama ya kiislamu, zama mpya na na ya kisasa.
Pia , Makumbusho hayo yanajumuisha maeneo makubwa ya muda kwa kuonesha , ukumbi , Kituo cha elimu na utafiti, pamoja na maonesho yanahusiana na uboreshaji wa mji wa Kairo, na yatakuwa kama mahali kwa kundi tofauti la sherehe , likiwemo onesho la filamu, makongamano, mihadhara na Harakati za kiutamaduni, pia ukumbi huo una maiti wa kifalme 22, na masunduku ya enzi za kifalme 17 yanayokuja Makumbusho ya Misri huko Tahrir katika mikusanyiko mikubwa imezinduliwa Jumamosi jioni Aprili 3,2021 wakati wa ufunguzi wa Ukumbi mkuu na ukumbi wa maiti huko Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu wa Misri ulikuja pamoja na mkusanyiko wa maiti wa kifalme ; kulinda amani yao, pia mizoga hao wanarudi zama ya familia ya 17,18,19 na 20 , wakiwemo maiti 18 wa wafalme na maiti wanne wa malkia , wakiwa ni pamoja na : Maiti Mfalme ” Ramses wa pili II, Mfalme Sqnn Ra , Mfalme Thutmos wa tatu lll, Mfalme Siti wa kwanza , malkia Hatshepsut , malkia Mirt Amon mke wa Mfalme Amenhotep wa kwanza l, na malkia Ahmose Nefertari mke wa Mfalme Ahmose… Pia maiti wa familia moja wanakusanyawa pamoja na Maiti wa Bibi wa kwanza kutoka kwa eneo la Athar Saqqara .
Aidha, maudhui ya onesho linajumuisha uboreshaji wa fikra ya ” mazishi ” mnamo Ustaarabu wa Misri wa kale , na njia za kuingiza na tofauti zake , mwanzoni mwa kufunga maiti na kumwingiza , pamoja na kuonesha baadhi ya vitu muhimu vya mambo ya kale vinavyohusiana na wakati huohuo wa utawala , vikiwemo samani za mazishi , pia mgeni itaingia safari ya wakati ya Ulimwengu wa wafalme wa Mafarao ambapo ataingia ndani ya mfumo maalumu na tofauti si jadi ukiambatana Mwanga hafifu , kiasi kwamba mgeni anahisi kuingia kaburi halisi, pia ukumbi huo una bao za maelekezo na ishara za mwongozo , pia maiti wataoneshwa kupitia skrini zenye ubora wa juu na paneli za picha , ambapo itazioneshwa kwa njia tofauti tofauti ikiambatana na skrini za maonesho maingiliano na ” Hologram ya 3D”.
Vilevile, kundi la vyombo vya udongo vinavyojulikana kwa vyombo venye upande mweusi , vyazingatiwa vitu maarufu zaidi ambayo Makumbusho yatavionesha , basi hivyo vinarudi zama ya kabla ya familia , kiasi miaka 7000, bado hadi sasa vinahifadhi kwa umbo lake, ubora na mng’ao wake , pia kundi la “Alfayinsi” ni marumaru inapakwa rangi ya kijani kibichi mng,ao , imeichongwa kisha kuchomwa tena , na kundi hilo linarudi zama ya Nchi ya kisasa .
Pia Makumbusho ya Ustaarabu yanatoa saa ya kwanza na zamani katika historia inayojulikana na Mmisri wa kale , na saa ya kwanza maji , nyingine ya jua , ratiba ; kujua nyakati na idadi za zana za kilimo kwa kukisia umbali, ardhi na maeneo ya kuainisha mipaka ya jirani, pamona na kiwango cha kwanza cha Mto Nile ambacho kilikuwa kinaainisha kupanda maji ya Mto Nile , basi kimekuwa kina jukumu kuhusu onyo wakati wa mafuriko, pia maonesho ya Sanaa ya kiisalamu na kikoptiki yapo, vilevile inaoneshwa umbo la mkate mwanzoni mwa zama ya kifarao hadi sasa hivi , zana za vipodozi mnamo kila enzi , na sehemu ya kifuniko cha Kabaa tukufu .
Vilevile, ukumbi mkuu huko Makumbusho unaonesha kazi za sasa kwa watu walioathiri maisha yetu kwa kazi zao mnamo zama ya sasa, kama Mahamud Mokhtar, Saeed Al_Sadr, Hassan Fathi na wengineo, Kwa hivyo mgeni kati ya pande za Makumbusho afuata awamu za uboreshaji wa Ustaarabu wa kimisri kupitia zama hizo , na anaona kwa makini mbele ya macho yake onesho muhimu la mafanikio yaliyofanyika na juhudi za Wamisri katika nyanja mbalimbali za maisha tangu mwanzo wa historia hadi wakati wa sasa.