Habari

Shoukry akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania pembezoni mwa mikutano ya Umoja wa Afrika

Nour Khalid

Waziri wa Mambo ya Nje , Sameh Shoukry, amekutana na Jose Manuel Albarez , Waziri wa Mambo ya Nje, Umoja wa Kiafrika , na ushirikiano na Uhispania, pembezoni mwa ushirikiano katika kazi ya Baraza la Kiutendaji la Umoja wa Afrika mjini Adis Ababa

Kulingana na taarifa ya Balozi , Ahmed Abo zayed , msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje, kuwa mazungumzo yanadokeza mahusiano ya kipekee yanayojumuisha kati ya nchi hizo mbili, ambapo Shoukry alielezea misimamo mizuri ya Uhispania kwa Misri, katika mifumo mbalimbali ya kimataifa, na pia alisisitiza matarajio ya pande hizo mbili kwa kuimarisha mahusiano mawili katika nafsi kadhaa za ushirikiano unaokuwa na nchi hizo mbili, na Waziri wa Mambo ya Nje alielezea matarajio yake ya kumaliza kutia saini makubaliano ya kuanzisha Kamati ya Uchumi na Kiufundi baina ya nchi mbili iliyokubaliwa kuanzishwa katika ziara ya Rais wa Uhispania huko mjini Kairo mnamo Desemba 2021, pamoja na kufanya baraza la shughuli za Kimisri na Kihispania, linalochangia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili, kuthamini miradi inayotekelezwa makampuni ya Kihispania nchini Misri katika uwanja wa usafirishaji, na hayo yote yanarudisha manufaa kwa nchi hizo mbili .

Na Balozi Abo Zayed ameongeza kuwa mawaziri wawili walionesha maendeleo ya kisasa zaidi kwa ngazi ya idadi ya madhumuni, haswa mambo ya ardhi za Palestina na Libya ,ambapo alitia mkazo umuhimu wa kuendelea utaratibu katika masuala ya maslahi ya pamoja ikiwa katika mambo ya kimataifa katika hali mbaya ya nchi, na mawasiliano na faili za kikanda zinazowasiliana moja kwa moja na utulivu na Usalama wa jirani za katikati, pamoja na uratibu wa utekelezaji wa pendekezo la Uhispania la kufanya mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Ulaya na nchi za jirani za kusini kupitia urais wa Uhispania ujao kwa Umoja wa Ulaya.

زر الذهاب إلى الأعلى