Habari

Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Ufuatiliaji wa Mahusiano ya Misri na Afrika

0:00

Ndani ya muktadha wa Ufuatiliaji wa mara kwa mara wa mahusiano ya Ushirikiano kati ya Misri na nchi za Afrika, Kamati ya Kudumu ya Ufuatiliaji wa Mahusiano ya Misri na Afrika ilifanya mkutano mnamo Desemba 19, 2023, katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje, iliyoongozwa na Balozi Hamdi Sanad Loza, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika, kwa Ushiriki wa wawakilishi wa Wizara na mamlaka za kitaifa zinazohusika.

Mkutano huo ulishughulikia nafasi ya Utendaji wa miradi ya Ushirikiano wa Misri katika nchi kadhaa, na hatua muhimu za kuondokana na matatizo yanayowakabili baadhi yao, kwa njia inayochangia kufikia maslahi ya pamoja na kuimarisha mahusiano ya Ushirikiano kati ya Misri na nchi za bara.

Back to top button